Uchoraji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.5) (roboti Nyongeza: az:Rəssamlıq
d roboti Nyongeza: mk:Сликање; cosmetic changes
Mstari 1:
[[FilePicha:Kondoa.jpg|thumb|300px|Uchoraji kwenye mwamba kwenye mapango karibu na [[Kondoa]] ([[Tanzania]])]]
'''Uchoraji''' ni [[sanaa]] ya kupaka rangi kwenye uso wa [[karatasi]], [[kitambaa]], [[ubao]], [[metali]], [[mwamba]] au penginepo. Tokeo la uchoraji huitwa picha.
 
Ni sanaa wakilishi inayotumika kuwakilisha [[ujumbe]] kwa [[jamii]], kuna aina tofauti za uchoraji.
 
Hii inategemea na mchoraji mwenyewe anapenda aina gani ya uchoraji, pia wakati mwingine sanaa hii ya uchoraji si kuwakilisha ujumbe tu pia kumvutia mtamzamaji kwa rangi za kupendeza bila kujali ujumbe uliobebwa na picha hiyo, au wakati mwingine inawezekana picha isiwe na ujumbe kabisa lakini ikawa imechorwa kwa ustadi mkubwa na kupakwa rangi za kuvutia sana.
 
[[Picha:Tomb of Nakht (2).jpg|thumb|200px|Uchoraji wa Misri ya Kale (Kaburi la Nakht)]]
== Historia ==
Picha za kale kabisa zinaonyesha uchoraji kwenye miamba katika mapango. Katika Afrika ni [[Wasan]] au watu waliokuwa karibu nao waliochora wanyama kwenye kuta za mipango walipopumzika. Picha zao zinapatikana kote katika [[Afrika ya Kusini]] hadi [[Tanzania]] ambako kuna mifano mbalimbali karibu na [[Kondoa]]. Mifano ya uchoraji wa aina hii imepatikana pia Ulaya, Asia na Australia.
 
Mstari 81:
[[lv:Glezniecība]]
[[mg:Hosodoko]]
[[mk:Сликање]]
[[ml:ചിത്രകല]]
[[mr:चित्रकार]]