Tofauti kati ya marekesbisho "Santa Cruz de Tenerife"

44 bytes removed ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: sc:Santa Cruz de Tenerife)
|wakazi_kwa_ujumla = 217.415
|website = http://www.sctfe.es/
 
}}
[[Picha:TF SantaCruzdeTF.png|thumb|250px|Eneo la Santa Cruz kisiwani]]
[[Picha:Auditorio de Tenerife Pano.jpg|thumb|right|250px|Auditorio de Tenerife]]
[[Picha:Tenerife2005 056.jpg|tumb|right|250px|Kitovu cha mji wa Santa Cruz]]
[[Picha:SanAndrés2.JPG|thumb|right|250px|Mapwa ya Playa de Las Teresitas]]
 
'''Santa Cruz de Tenerife''' au kwa kifupi '''Santa Cruz''' ([[Kihispania]]: Msalaba Mtakatifu) ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha [[Tenerife]] na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa ya [[Visiwa vya Kanari]] inayojitawala ndani ya [[Hispania]]. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Ki[[afrika]] ya [[Atlantiki]].
 
Santa Cruz ilikuwa mji mkuu wa funguvisiwa mnamo 1812. Tangu 1982 ni mji mkuu pamja na Las Palmas de Gran Canaria. Kila baada ya miaka minne mmoja kati ya miji hii miwili una nafasi ya kuwa mji mkuu.
 
<gallery>
[[Picha:Auditorio de Tenerife Pano.jpg|thumb|right|250px|Auditorio de Tenerife]]
[[Picha:Tenerife2005 056.jpg|tumb|right|250px|Kitovu cha mji wa Santa Cruz]]
[[Picha:SanAndrés2.JPG|thumb|right|250px|Mapwa ya Playa de Las Teresitas]]
</gallery>
 
== Viungo vya Nje ==
Anonymous user