Ubangi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: sr:Убанги
No edit summary
Mstari 3:
| maelezo_ya_picha = Ubangi inavyoonekana kutoka angani kati ya maeneo ya mashamba na msitu wa mvua
| chanzo = Maungano ya mito [[Mbomou (mto)|Mbomou]] na [[Uele (mto)|Uele]] mpakani wa [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
| mlangomdomo = [[Kongo (mto)|Mto Kongo]] (karibu na [[Mbandaka]])
| nchi = [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Jamhuri ya Kongo]]
| urefu = 850 km, pamoja na Uele 2.272 km
Mstari 12:
 
'''Ubangi''' ni tawimto mkubwa wa mto [[Kongo (mto)|Kongo]] na kati ya [[mito mirefu ya Afrika]].
Chanzo chake ni maungano ya mito [[Mbomou (mto)|Mbomou]] na [[Uele (mto)|Uele]] kwenye mpaka wa [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] (J.A.K.) na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] (J.K.K.).
 
Mto waelekea kwanza magharibi halafu magharibi-kusini ukipitia mji mkuu [[Bangui]].
 
Mwendo wote wa mto Ubangi ni mpaka wa kimataifa: kwanza kati ya J.A.K. na J.K.K., halafu kati ya J.K.K. na [[Jamhuri ya Kongo]].
 
Ubangi waishia katika mto Kongo takriban kilomita 90 kusini ya [[mji Mbandaka]].