Madina : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ckb:مەدینە
No edit summary
Mstari 4:
'''Madina''' (pia: Medina; [[Kiarabu]]: المدينة المنورة ''madinat-ul-munawwara'' - mji ulioangazwa) ni mji wa [[Saudia]] ya magharibi takriban 320 km kaskazini ya [[Makka]]. Inaheshimiwa na kutembelewa na Waislamu kwa sababu ni mahali pa kuzikwa kwa [[Mtume Muhammad]].
 
Madina ina wakazi mnamo 900,000. Jina asilia ya mji lilikuwa '''Yathrib'''. Neno "madina" lamaanisha "mji".
 
Madina ina nafasi muhimu katika imani ya Kiislamu. Kufuatana na mapokeo ya Kiislamu Muhammad alifika hapa mwaka [[622]] kwa njia ya [[hijra]] alipoondoka Makka kwa sababu ya upinzani dhidi yake.
Mstari 14:
Mji huu ni marufuku kwa wasio Waislamu wasiingie sawa na Makka.
 
{[Mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Uislamu]]