McDonald Mariga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kubwa ---> ndogo herufi, replaced: Watu Walio Hai → Watu walio hai using AWB
No edit summary
Mstari 10:
| urefu = 1.88 m (6 ft 2 in)
| nafasi = Katikati
| klabuyasasa = [[Internazionale Milano]]
| nambayaklabu =17
| miakayavijana =
| klabuzavijana =
| miaka = [[2010]]
| vilabu = [[Internazionale Milano]]
| magolialioshinda = 0 (0)
| miakayataifa = [[2006]]
Mstari 28:
Mariga alianza kazi yake ya kucheza 'Ulinzi Stars' kabla ya kuhamia [[Pipeline FC]]. Mariga alikuwa mwanachama wa Shule ya Upili ya Kamukunji 'Golden Boys', ambayo mshambuliaji wa Kenya Dennis Oliech (Auxerre, Ufaransa) alikuwemo,na ilishinda mara mbili mfululizo kinyang'anyiro cha Mabingwa wa Taifa cha mwaka wa 2002 na 2003.
 
Mcheza kiungo cha kati huyu alienda Uswidi mwaka wa 2005 kuchezea upande wa tatu wa Division(Taarafa), Enköpings SK. Baada ya msimu mmoja tu katika ESK, yeye alitia saini kwa Helsingborgs IF kabla ya msimu wa 2006. Mafanikio yake katika Olympia yalikuwa ya haraka sana. Kufuatia madai ya awali ya meneja kutoka Portsmouth [[Harry Redknapp,]], Mariga alionekana akiwa tayari kuweka saini kwa timu ya Ligi Kuu, lakini masuala ya kibali cha kazi yalimzuia kwa kuwa yangegharimu karibu yuro milioni mbili nukta saba.
 
Alihamia Serie A klabu ya Parma FC kwa mkopo, mwezi wa Agosti mwaka wa 2007. Klabu hii ya Kiitaliano ilikuwa na chaguo la kumnunua katika majira ya joto kwa ada ya krona za Uswidi milioni 20 (karibu sawa na yuro milioni 2).<ref>[http://fotbollskanalen.se/611259.html ]</ref> Mariga alikubali uamuzi wa miaka nne ya kuichezea Serie A upande wa Parma kwa miaka minne hadi mwisho wa Juni 2012, baada ya klabu kulipwa ada ya uhamisho ya krona za Uswidi milioni 18 (takriban yuro milioni moja nukta tisa nne). Mpango huo, ulioandaliwa na aliyekuwa mchezaji nyota wa Uswidi, Martin Dahlin, sasa ni ajenti, unakosa krona milioni 20 dhidi ya bei ya kuulizia ya awali iliyowekwa na Helsingborgs.Asilimia 25 ya ada ya uhamisho itaenda kwa Enkopings SK, klabu iliyotangulia kumleta Mariga Uswidi mwaka wa 2005.