Wingu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
No edit summary
Mstari 3:
 
== Kutokea kwa mawingu ==
Asili yake ni [[mvuke]] wa maji unaotokea wakati [[jua]] linabadilisha maji kuwa [[gesi]] ya [[H<sub>2</sub>²O]]; mvuke unapanda juu kwa sababu ni nyepesi kuliko [[hewa]]. Baada ya kupanda kiasi cha kutosha hufikia umbali penye baridi na mvuke unatonesha kuwa matone madogo ya maji. Kama wingu ni juu sana baridi inasababisha mvuke kuwa [[fuwele]] za [[barafu]] au [[theluji]].
 
Mvuke unahitaji viini kwa kutonesha. Viini hivi ni aina zote za vumbi iliyoko hewani. Mvuke uliopo hewani unaanza kutonesha kwenye vipande hivi vidogo sawa na mvuke katika chumba cha jikoni au bafuni unaotonesha kwenye kioo cha dirisha au ukutani.