Lori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: nv:Chidítsoh
d roboti Badiliko: id:Prahoto; cosmetic changes
Mstari 3:
'''Lori''' ''([[Kiing.]] lorry)'' ni [[motokaa]] kubwa ya kubeba mizigo ya kila aina. Kutokana na ukubwa wake lori mara nyingi husukumwa kwa injini ya [[diseli]].
 
== Muundo wa lori ==
Kuna aina mbalimbali. Kwa kawaida huwa na [[fremu ya gari|fremu]] imara, magurudumu yanayosukumwa na injini kupitia giaboksi. Mbele kuna chumba cha dereva chenye kiti chake na vifaa vya kutawala lori kama vile [[usukani]], [[kichapuzi]] na [[breki]]. kwa kawaida kuna pia viti kwa ajili ya abiria au wasaidizi 1 - 2. Malori makubwa huwa pia na kitanda cha dereva nyuma ya viti.
 
Mstari 12:
Malori makubwa huwa mara nyingi na sehemu mbili ambayo ni mbele lori lenye chumba, injini na giaboksi pekee halafu nafasi ya kufunga sehemu pa pili ambayo ni trela kubwa ya mizigo juu yake.
 
== Ukubwa ==
Malori madogo sikubwa kuliko motokaa kubwa. Katika nchi nyingi laiseni ya udereva ya kawaida inamruhusu mwenye laiseni kuendesha malori madogo hadi uzito wa tani 3.5.
 
Malori ya katikati hufikia uzito chini ya tani 10. Juu ya tani 10 ni malori mazito na hapa dereva anahitaji mafunzo maalumu.
 
Malori ya kubeba mizigo mingi kwa mahali pa mbali mara nyingi huwa pia na trela. Malori huwa na magurudumu manne au zaidi kama ni mazito.
 
[[File:Conventional 18-wheeler truck diagram.PNG|frame|center|Muundo wa lori kubwa ya sehemu mbili yenye magurudumu 18 huwa na sehemu zifuatazo:<br />
Mstari 31:
10. mguu wa trela wa kuisimamisha wakati wa kutengwa na lori]]
 
[[CategoryJamii:Motokaa]]
 
[[ang:Hlæstƿæȝn]]
Mstari 54:
[[hr:Kamion]]
[[hu:Tehergépkocsi]]
[[id:TrukPrahoto]]
[[io:Kamiono]]
[[is:Vörubíll]]