Awasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Awasa fish market.jpg|thumb|250px|Soko la samaki kando la ziwa mjini Awasa]]
[[picha:Ethiopia.png|thumb|250px|Mahali pa Awasa nchini Ethiopia]]
[[File:Awassa Town Map.jpg|thumb|350px|Ramani ya Awasa]]
 
'''Awasa''' (pia ''Awassa'' au ''Hawassa'', [[Kiethiopia]] አዋሳ) ni mji mkuu wa [[Jimbo la Mataifa ya Kusini, Ethiopia|Jimbo la Mataifa ya Kusini]] katika kusini ya [[Ethiopia]]. Iko kando la [[Ziwa Awasa]] katika [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]] takriban [[kilomita]] 280 kusini ya [[Addis Abeba]].