Kitabu cha Kwanza cha Wafalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: bar:1. Buach der Kenige
d roboti Badiliko: an:Primer libro d'os Reis; cosmetic changes
Mstari 1:
'''Kitabu cha Kwanza cha Wafalme''' ni sehemu ya [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]] na ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Hugawiwa katika sura 22.
 
== Historia ya kitabu ==
 
Zamani kilikuwa kitabu kimoja pamoja na [[Wafalme II]] lakini katika [[Septuaginta]] kitabu kiligawiwa pande mbili. Wataalamu huamini hii ilitokea kutokana na urefu wa kitabu si kwa sababu ya yaliyomo au ya mpangilio wake.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Yaliyomo ==
 
Kinasimulia hasa habari za wafalme wa [[Israeli ya Kale]]. Chanzo ni habari za mfalme mzee [[Daudi (Biblia)|Daudi]] na za [[Solomoni]] aliyemfuata. Hapa kuna pia maelezo kuhusu ujenzi wa [[hekalu la Yerusalemu]].
 
Kinachofuata ni habari za ugawaji wa milki kuwa madola mawili yaani:
* [[Ufalme wa Yuda]] upande wa kusini kuanzia mfalme [[Rehoboamu]] mtoto wa Solomoni
* [[Ufalme wa Israel]] upande wa kaskazini kuanzia mfalme [[Yeroboamu]] hadi mfalme [[Ahabu]].
 
Habari za [[nabii Eliya]] na [[nabii Elisha]] pia zinapatikana humo.
Mstari 19:
Kati ya masimulizi mashuhuri sana ya kitabu hiki ni hukumu ya Suleimani (Wafalme I 3, 16-27).
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.biblephone.net/mobile/index.php/swa/2/1King/ Kitabu cha Kwanza cha Wafalme katika Biblia (Union Version)]
 
{{DEFAULTSORT:Wafalme I}}
[[CategoryJamii:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}
Mstari 30:
[[Picha:[[Picha:Mfano.jpg]]]]
 
[[an:IPrimer libro d'os Reis]]
[[ar:سفر الملوك الثاني]]
[[bar:1. Buach der Kenige]]