Waamuzi (Biblia) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 27:
==Waisraeli na maadui wao==
 
Inaonekana kwamba vita mabalimbalimbalimbali vyadhidi ya mataifa ya jirani na ushindi wake, na [[mapinduzi]] ya baadaye yaliyoletwa na Waamuzi wa Israeli, mara nyingi zaidi yalikuwavilikuwa katika sehemu fulani ya nchi tu, bila ya kuingia katikakuhusu nchi yote ya Kanaani. Kwa kawaida makabila yaliyohusika yalikuwa yale ya maeneo yao tu. Pia iliwezekana kwamba ushindi na mashambulio yake yalikuwa sehemu mbalimbali kwa wakati mmoja. Kwa mfano, habari za [[Yefta]] na [[Waamoni]] ziliweza kuwa zimetokea wakati ule ule ambao [[Samsoni]] alishughulika na [[Wafilisti]] (taz. 10:7-8; 11:5; 13:1). Haukuwepo [[umoja]] sana katika Israeli, na kila [[kabila]], au hata makundi ya makabila fulani, yaliangalia mambo yaliyotokea katika maeneo yao, bila ya kujali mambo ya makabila mengine.
 
Sababu kuu ya ukosefu ulehuo wa umoja ilikuwa kwamba, watu walikuwa wamemwacha Mungu, kwa sababu kama wangalimfanya Yeye kuwa mkuu na sehemukiini ya katikati yacha maisha yao ya kitaifa, [[uaminifu]] wao kwa Mungu ungaliwaunganisha. MatenganoPia yao yalikuwa mabaya zaidi, kwa sababu hawakuwaangamiza maadui wote. Ngome[[ngome]] za Wakanaani (pamoja na askari zakezao waliobaki sehemu mbalimbali za maana) zilizuia umoja wa makabila ya Israeli. Katika nchi yenyewe ya Kanaani (yaani eneo la kati ya [[Mto Yordani]] na [[Bahari ya Kati]]), makabila ya Israeli yalikuwa katika makundi makubwa matatu, yaani ya kaskazini, ya katikati na ya kusini, ambapo Mto Yordani ulitenga makabila ya mashariki yalitengwa na makabila mengine na Mto Yordani.
 
Matengano yalehayo ya makabila ya Israeli hayakuwa ya kisiasa au ya kieneo tu, bali pia yalileta shida kwa umoja wa kidini, kwa sababu watu wengi walitengwa na mahali maalumu pa kuabudia, yaani [[hema la kukutania]] lililokuwepo [[Shilo]] ([[Yos]] 18:1; 22:9).

Kwa kifupi, matatizo yote ya Waisraeli, yakiwa ya [[maendeleo]], ya kisiasa au ya kidini, yalitokana na ukosefu wa watu wa kutii amri yaza Mungu ya kuwaangamiza Wakanaani kabisa (taz.1:21, 27-36; [[Kum]] 7:2-4; 9:5; Yos 24:14-24).
 
==Dini za Wakanaani==