Wanaisraeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Kadiri ya [[kitabu cha Mwanzo]] Yakobo alipewa na [[Mungu]] jina la "Israeli" baada ya kushindana naye kwenye [[mto Yaboki]].
 
Alizaa wana wa kiume 12 waliokuwa mababu wa makabila 12 ya [[Israeli ya Kale]].
 
Katika maandiko ya [[Biblia ya Kiebrania]] ([[Tanakh]]) na kwa hiyo pia katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]] makabila haya mara nyingi huitwa "Waisraeli", "wana wa Israeli" au pia "watu wa Israeli".
 
Kwa historia yao angalia [[Israeli ya Kale]].
 
[[Category:Watu wa Biblia]]