Moabu : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
ramani iliyoswahilishwa |
ramani iliyoswahilishwa, mpangilio |
||
Mstari 11:
==Uhusiano kati ya Moabu na Israeli ya Kale==
Kulingana na habari za Biblia uhusiano kati ya Moabu na [[Israeli ya Kale]] mara nyingi haikuwa nzuri wakapigana mara nyingi kivita. Lakini walikuwa karibu katika habari nyingi za jamii na utamaduni wao; lugha yao ilifanana sana na Kiebrania jinsi inavyonoekana kwenye matangazo ya [[jiwe la Mesha]].
Pamoja na masimulizi inayoonyesha uhusiano mbaya kama habari za Bileamu ([[Hesabu (Biblia|Hesabu]] 22-24) au za Egloni na Ehudi ([[Waamuzi (Biblia)|Waamuzi]] 3, 12 ff) kuna pia habari za kinyume. [[Kitabu cha Ruthu]] inasimulia habari za mwanamke wa Moabu anayeendelea kuingia kati ya mababu wa mfalme Daudi.▼
▲Pamoja na masimulizi
|