Kipepeo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: war:Alibangbang |
Masahihisho |
||
Mstari 70:
[[http://en.wikipedia.org/wiki/File:Common_Buckeye_larva_variation,_Megan_McCarty42.JPG]]
Lava wa vipepeo hula majani kwa wingi, na hutumia muda wao mwingi wa siku wakitafuta chakula japokuwa asilimia kuowa ya lava hula nyasi (majani), wachache hula wadudu. Baadhi ya lava huishi maisha ya kutesemeana na
Lava wengine pia wanauwezo wa kuzitokeza sehemu za vichwa vyao na kuonekana kama nyoka. Pia wana madoa kama macho ya uongo kuongezea muonekano huo. Pia, huwa na uwezo wa kutoa kemikali Fulani na kuitumia kama ulinzi.
|