Tunisia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tengua pitio 628626 lililoandikwa na 71.7.235.207 (Majadiliano)
Mstari 48:
Wakazi karibu wote hutumia lugha ya [[Kiarabu]]. Takriban watu 200,000 wanaendelea kuzungumza [[Kiberber]] ambacho ni lugha ya asili ya wenyeji lakini [[Waberber]] wengi wameshaanza kutumia Kiarabu.
 
Tunisia ilikuwa jimbo la "Africa" katika [[Dola la Roma]]. Eneo lake limewahi kutawaliwa na [[Wafinikia]] wa Karthago, [[Waroma]] wa Kale, [[Wavandali]], [[Waarabu]], [[Waturuki]] na [[WafricaWafaransa]].
 
{{mbegu-jio-Afrika}}