Paskali Baylon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|200px|right|Picha ya Paskali Baylón, inayotunzwa katika [[parokia ya Torrehermosa.]] '''Paskali Baylon Yubero''' ([[Torrehermo...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 04:17, 19 Juni 2011

Paskali Baylon Yubero (Torrehermosa, Zaragoza, 16 Mei 1540 - Villarreal, Castellón, 17 Mei 1592) alikuwa bruda wa utawa wa Ndugu Wadogo

Picha ya Paskali Baylón, inayotunzwa katika parokia ya Torrehermosa.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 19 Oktoba 1618, halafu na Papa Alexander VIII kuwa mtakatifu tarehe 16 Oktoba 1690.

Ni msimamizi wa ibada za ekaristi.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.