Tausi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.1) (roboti Nyongeza: bpy:পাভ্যাও
d roboti Badiliko: no:Påfugler; cosmetic changes
Mstari 10:
| oda = [[Galliformes]] (Ndege kama [[kuku]])
| familia = [[Phasianidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[kwale (ndege)|kwale]])
| jenasi = ''[[Afropavo]]'' <small>[[James Paul Chapin|Chapin]], 1936</small><br />
''[[Pavo]]'' <small>[[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758</small><br />
}}
Tausi ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] ''[[Pavo]]'' na ''[[Afropavo]]'' katika [[familia]] ya [[Phasianidae]]. Dume ana rangi ing’aayo ya majani au buluu na mkia wake ni mrefu mwenye rangi nyingi. Jike ana rangi inayofifia pengine kahawia tu. Jinsia zote zina ushungi. Dume hukoga mkia kwa ubembelezi. Hula [[tunda|matunda]], [[ua|maua]], [[mdudu|wadudu]] na [[mtambazi|watambazi]]. Hutaga mayai matatu hadi manane ardhini.
 
[[Tausi wa Kongo]] anatokea [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Kongo ya Kidemokrasia]]. [[Spishi]] mbili nyingine zinatokea misitu ya [[Asia]], lakini zimewasilishwa katika sehemu nyingine za [[dunia]], hususa [[tausi mhindi]].
 
== Spishi za Afrika ==
* ''Afropavo congensis'', [[Tausi wa Kongo]] ([[w:Congo Peafowl|Congo Peafowl]])
* ''Pavo cristatus'', [[Tausi Mhindi]] ([[w:Indian Peafowl|Indian Peafowl]]) '''imewasilishwa'''
 
== Spishi za Asia ==
* ''Pavo cristatus'' ([[w:Indian Peafowl|Indian Peafowl]])
* ''Pavo muticus'' ([[w:Green Peafowl|Green Peafowl]])
 
== Picha ==
<gallery>
Image:Pavo_cristatus_male.jpg|Dume wa tausi mhindi
Mstari 36:
Image:Pavo muticus2.jpg|Green peahen
</gallery>
 
 
[[Jamii:Kuku na jamaa]]
Line 60 ⟶ 59:
[[ne:मयूर]]
[[nn:Påfugl]]
[[no:PåfuglPåfugler]]
[[nv:Tsídii bitseeʼ naashchʼąąʼí]]
[[oc:Pavon]]