Bantustan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Southafricanhomelandsmap.png|thumb|350px|Ramani za Bantustan za Afrika Kusini]]
'''Bantustan''' ilikuwa jina la eneo maalumu katika [[Afrika Kusini]] wakati wa [[siasa]] ya [[Apartheid]] ([[ubaguzi wa rangi]] wa kisheria). lililotenganishwaEneo kamahilo eneolilitenganishwa lakwa ajili ya [[kabila]] fulani la [[Waafrika]] Weusiasili. Kimsingi ilikuwa kama [[rizavu]] katika ma[[koloni]] zaya [[Uingereza]], lakini chini ya siasa ya Apartheid ilitangazwa kuwa nchi ya pekee.
 
==Neno Bantustan==
Neno Bantustan liliundwa na maneno "[[Bantu]]" (la kutajakutajia Waafrika Weusi) na "-stan" (linalomaanisha kwa [[Kiajemi]] nchi ya watu fulani kama vile [[Uzbekistan]] = nchi ya [[Wauzbeki]]).
 
Maneno mengine yaliyotumiwa kwa ajili hiyo yalikuwa "homeland" (kwa [[Kiingereza]]) na "tuisland" (kwa [[Kiafrikaans]]) yakiwa na maana ya "nchi ya nyumbani").
 
==Bantustan kama nchi huriahuru kwa jina==
Bantustan kumi zilitangazwa katika Afrika Kusini, tenana kumi tena nchini [[Namibia]] iliyotawaliwa na Afrika Kusini.
 
Bantustan kadhaa zilitangazwa kuwa nchi huriahuru lakini hazikutambuliwa na umma wa kimataifa.
Hizi zilikuwa:
*[[Transkei]]
Mstari 17:
*[[Ciskei]]
 
Zingine zilipewa madaraka ya [[utawala wa ndani]] kama vile:
*[[KwaZulu]]
*[[Lebowa]]
Mstari 31:
 
==Shabaha za siasa za Bantustan==
Shabaha za kuundwa kwa maeneo haya zilielezwa waziwazi na [[chama]] cha NP. [[Waziri]] [[Connie Mulder]] alitangaza mwaka [[1978]]:
"Tutakapotimiza siasa yetu kuhusu watu weusi hatabaki mtu mmoja mweusi kama [[raia]] wa Afrika Kusini. Kila mtu mweusi atakuwa na [[uraia]] katika moja ya hizi nchi huriahuru mpya kwa njia ya heshima. [[Bunge]] hiihili haitaskuwahalitakuwa tena na [[wajibu]] wa kuangalia watu hawa kisiasa."
 
Maana ya siasa hii ilikuwa kuhakikisha Afrika Kusini itaendelea kama nchi ya watu weupe hasa [[Maafrikaaner]]. Apartheid ilitaka kuondoa tatizo la watu weusi kuwa wengi nchini kwa kuwaondoa katika nchi kwa kuwahamisha katika Bantustan zilizotangazwa kuwa nchi za pekee tofauti na Afrika Kusini.
 
Kiini cha siasa hii ilikuwakilikuwa pia ya kwamba bantustan zote kwa pamoja zilipewa asilimia 13 tu ya eneo lote la Afrika Kusini, na asilimia zaidi ya 80 zilitakiwa kubaki kama Afrika Kusini ya watu weupe. Hii ilimaanisha pia ya kwamba raia wa bantustan hizihizo hawakupata [[kazi]] na [[ajira]] kwao, wakategemea kupata ajira katika Afrika Kusini - ila tu si kama wenyeji bali kama wageni walioweza kuondolewa na kushughulikiwa kama wageni yaani bila ya [[haki]] zozote hasa bila ya haki za kutafuta msaada wa [[mahakama]]. KamaKwa mfano, asilimia 65 za wafanyakazi wa Bophuthatswana walifanya kazi nje ya eneo lao.
 
==Hali za Bantustan==
Maisha katika Bantustan ilikuwayalikuwa ya umaskini kwa watu wengi. Maeneo yalikuwa madogo mno na hasa maeneo yenye rutba[[rutuba]] yalibaki nje mkononomkononi mwa [[wakulima]] [[makaburu]]. Siasa hii ya kuteua maeneo bila ya thamani tu kwa ajili ya Bantustan ilionekana pia kwenye ramani inayoonyesha Bophuthatswana na KwaZulu kama mkusaniykomkusanyo wa vilakaviraka, si kama eneo la pamojamoja.
 
Hakuna Bantustan hata moja iliyoweza kujidumisha, nabali zote zilitegemea misaada kutoka [[serikali]] ya [[Pretoria]]. Mwaka [[1985]] Transkei ilipokea 85% ya mapato yake kama [[ruzuku]] kutoka serikali ya Afrika Kusini.
 
Tatizo kubwa ya bantustan ilikuwa [[ufisadi]] wa viongozi na [[tabaka]] yala juu. Watu wachache walitajirika wakaweza kujenga maisha bora lakini idadi kubwa waliishi maskinikimaskini mno. Wakubwa waliendesha [[biashara]] kama vilabu ambako raia wa Afrika Kusini waliweza kufurahia mambo yaliyokataliwa kwao: michezo ya [[kamari]], biashara ya [[ngono]] na [[umalaya]].
 
==Mwisho wa Bantustan 1994==
Mwisho wa Apartheid ilikuwaulikuwa pia mwisho wa Bantustan zote zilizorudishwa ndani ya Afrika Kusini. Serikali kadhaa zilijaribu kupinga harakati hii lakini raia walisimama upande wa ANC.
 
Serikali kadhaa zilijaribu kupinga harakati hizi lakini raia walisimama upande wa [[ANC]].
Katika Bantustan ya Ciskei jeshi na polisi ya Afrika Kusini iliingilia kati mwaka 1994.
 
Katika Bantustan ya Ciskei [[jeshi]] na [[polisi]] ya Afrika Kusini iliingiliawaliingilia kati mwaka 1994.