Tofauti kati ya marekesbisho "9 Juni"

16 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
d
r2.7.2) (roboti Badiliko: nah:9 Tlachicuazti; cosmetic changes
d (r2.7.1) (roboti Nyongeza: new:जुन ९)
d (r2.7.2) (roboti Badiliko: nah:9 Tlachicuazti; cosmetic changes)
{{Juni}}
== Matukio ==
* [[1534]] - [[Jacques Cartier]] ni Mzungu wa kwanza kugundua mto wa [[St. Lawrence (mto)|St. Lawrence]].
* [[1815]] - Mwisho wa [[Mkutano wa Vienna]] uliorekebisha hali ya siasa ya [[Ulaya]].
* [[1856]] - [[Wamormoni]] 500 wanatoka mji wa [[Iowa City]] katika jimbo la [[Iowa]] na kuelekea magharibi kwenda mji wa [[Salt Lake City]] katika jimbo la [[Utah]] wakibeba mali zao zote kwenye mikokoteni.
 
== Waliozaliwa ==
* [[1640]] - [[Kaisari Leopold I]] wa [[Ujerumani]]
* [[1672]] - Tsar [[Peter I wa Urusi]]
* [[1843]] - [[Bertha von Suttner]] (mwandishi [[Austria|Mwaustria]], na mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Amani]] mwaka wa [[1905]])
* [[1875]] - [[Henry Dale]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1936]])
* [[1935]] - [[Pius Msekwa]], mwanasiasa kutoka [[Tanzania]]
* [[1963]] - [[Johnny Depp]], mwigizaji wa filamu kutoka [[Marekani]]
 
== Waliofariki ==
* [[68]] - Kaisari wa Roma, [[Nero]] anajiua.
* [[373]] - Mtakatifu [[Efrem wa Syria]]
* [[1870]] - [[Charles Dickens]], mwandishi maarufu [[Uingereza|Mwingereza]]
* [[1959]] - [[Adolf Windaus]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]], mwaka wa [[1928]])
* [[1974]] - [[Miguel Asturias]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Fasihi]], mwaka wa [[1967]])
* [[1987]] - [[Elijah Masinde]], mwanzilishaji wa [[Dini ya Musambwa]]
* [[1989]] - [[George Beadle]] (mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Tiba]] mwaka wa [[1958]])
 
[[Jamii:Juni]]
[[ms:9 Jun]]
[[myv:Аштемковонь 9 чи]]
[[nah:Tlachicuazti 9 Tlachicuazti]]
[[nap:9 'e giùgno]]
[[nds:9. Juni]]
43,941

edits