Historia ya Rwanda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mtumiaji 66.31.19.243 alifuta mengi bila maelezo wala bila kujiandikisha - narejesha yote
Mstari 1:
'''[[Rwanda]]''' ilikuwa eneo penye utawala wa kifalme tangu karne nyingi kabla ya kufika kwa ukoloni. Mwanzo wake ni katika eneo la [[Ziwa la Muhazi]]. Watawala wenye cheo cha "''mwami''" kutoka kikundi cha wafugaji ([[Watutsi]]) walisambaza eneo lao tangu miaka ya karne ya 16 [[BK]] hadi kufika eneo la leo. Wafugaji wa ng'ombe Watutsi walikalia nchi pamoja na wakulima wa [[Kihutu]] na wavindaji Watwaa.
 
==Ukoloni wa Kijerumani==