Papa Yohane XI : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Papa Yohane XI''' alikuwa papa kuanzia Machi 931 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 935. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa '''Yohane''' (labda alizaliwa mwaka wa 910). Alimfu...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:42, 18 Julai 2007

Papa Yohane XI alikuwa papa kuanzia Machi 931 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 935. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Yohane (labda alizaliwa mwaka wa 910). Alimfuata Papa Stefano VII.