Kaukazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 2:
'''Kaukazi''' ([[Kirusi]] Кавказ ''Kawkas''; [[Kigeorgia]] კავკასიონი ''Kawkasioni'') ni eneo la milima kati ya [[Bahari Nyeusi]] na [[Bahari ya Kaspi]] linalohesabiwa kuwa mpaka kati ya [[Asia]] na [[Ulaya]].
 
Kaukazi iko katika eneo la nchi [[Armenia]], [[Azerbaijan]], [[Georgia (nchi)|Georgia]] na [[Urusi]]. Mlima unaojulikana hasa ni [[mlima Ararat]] unaosemekana ni mahali pa [[safina ya Nuhu]]. Kelele yenye kimo kikubwa ni mlima [[Elburs]] upande wa Urusi mwenye mita 5,642 [[juu ya UB]].