Bahari ya Karibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.5.4) (roboti Nyongeza: ang:Caribisc Sǣ
d JPG for PNG map
Mstari 1:
[[Picha:Central_americaCIA map Central America & Caribbean.jpgpng|thumb|350px|right|Ramani ya Amerika ya Kati na Bahari ya Karibi]]
'''Bahari ya Karibi''' ni bahari ya pembeni ya [[Atlantiki]] iliyoko kusini ya [[Ghuba ya Meksiko]]. Upande wa magharibi imepakana na Amerika ya Kati, kusini na Amerika ya Kusini. Pinde la [[Visiwa vya Karibi]] linaitenga na Atlantiki yenyewe.