Punda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Punda ni mnyama kutoka familia ya Equidae. Wamefugwa tangu takriban mwaka 3000KK na wanasaidia binadamu mpaka sasa. Spishi za punda zinaonwa pote pote ulimwenguni lakini spishi za punda za pori zinahatarishwa.