Édith Piaf : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: eml:Édith Piaf
d Add image from http://tools.wikimedia.de/~emijrp/imagesforbio/
Mstari 11:
| Yearsactive = 1935–1963
}}
[[Picha:Popiersie Edith Piaf ssj 20060914.jpg|thumb|right|Édith Piaf]]
 
'''Edith Piaf''' ([[19 Desemba]] [[1915]] – [[11 Oktoba]] [[1963]])<ref>11 Oktoba ni tarehe rasmi ya kifo chake; hali halisi aliaga dunia 10 Oktoba.</ref> alikuwa mwimbaji nchini [[Ufaransa]] aliyependwa sana na wananchi.
Jina lake la kuzaliwa ni '''Edith Giovanna Gassion''' lakini alichukua jina la kisanii "Piaf" (kifaransa kwa ndege [[shomoro]]). Wazazi walikuwa wahamiaji kutoka Italia, bibi yake upande wa mama alikuwa [[berberi]] kutoka Afrika Kaskazini. Wazazi hawakumtunza walimwachia kwa bibi upande wa baba na huyu alioongoza nyumba ya makahaba mjini Bernay (Normandie). Hapa alitunzwa na makahaba; kuna kumbkumbu ya kwamba alionjeka alipokuwa na miaka 5 akawa kipofu lakini makahaba wote walisimamisha kazi yao kwa siku tatu wakamwombea kanisani akaponyeka.