Tofauti kati ya marekesbisho "Mona Lisa"

44 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
Mona Lisa, by Leonardo da Vinci, from C2RMF retouched.jpg
d (roboti Nyongeza: si:මොනාලිසා)
(Mona Lisa, by Leonardo da Vinci, from C2RMF retouched.jpg)
[[Picha:Mona Lisa, by Leonardo da Vinci, from C2RMF retouched.jpg|thumb|right|400px|Mchoro wa Mona Lisa, uliofanywa na [[Leonardo da Vinci]].]]
'''Mona Lisa''' (pia huitwa '''La Giocconda''' ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri dunia [[Leonardo da Vinci]]. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini [[Paris]] maarufu kama [[Louvre]].
== Viungo vya nje ==
8

edits