Tofauti kati ya marekesbisho "Methali"

480 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d (r2.6.1) (roboti Nyongeza: war:Darahonon)
|-
| Usimwamshe aliyelala utalala wewe. ||usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe ||Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself. ||
|-
| Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti. || Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo. ||
|-
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. || Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo,yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe. ||
|}
 
 
 
 
|}
 
Anonymous user