Methali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 19:
|-
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. || Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo,yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe. ||
|-
| Afadhali dooteni,kama ambari kutanda. || Afadhali kibaya kidogo ulichonacho,kuliko kingi kizuri usichonacho wala huna njia ya kukipata.Hutumiwa kumnasihi mtu akinai na atoshelezeke na alichonacho,ingawaje kidogo.
 
|}