Tofauti kati ya marekesbisho "Methali"

25 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
clean-up
(clean-up)
! Methali !! Maana/Matumizi!! Taafsiri ya Kizungu
|-
| Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu || Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata||He that does not heed the elderly advice, evil befalls him
| Asiyefuata ushahuri wa wakuu wake,mabaya humpata
| He that does not heed the elderly advice, evil befalls him
|-
| Aisifiaye mvua,ujue imemnyeshea ||Hutumika kuashiria mtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambua utamu wake ||He that praises rain,has seen it
| Hutumika kuashiria mtu asifiaye jambo fulani, bila shaka ashatambua utamu wake
| He that praises rain,has seen it
|-
| Aliye juu,mngojee chini ||Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli. ||Pride comes before a fall
| Anayejitapa ashafaulu maishani,punde atafeli.
| Pride comes before a fall
|-
| Usimwamshe aliyelala utalala wewe. ||usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe ||Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself. ||
| usimkumbushe aliyesahau kufanya jambo fulani maanake utalisahau wewe
| Do not wake one who is sleeping; you will fall asleep yourself.
|-
| Adhabu ya kaburi, aijuaye maiti. || Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo. ||
| Taabu na dhiki ya kaburini,aijuaye maiti.Inatufahamisha kuwa aijuaye taabu na dhiki ya jambo lolote ni yule aliyehusika nalo.
|
|-
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake.
| Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. || Kitanda ambacho hujalala juu yake huwezi kujua kama kina kunguni wengi au kidogo,yule anachokilalia kitanda hicho ndiye ajuaye hasa adhabu ya kunguni wake. Inakufahamisha kuwa shida inayompata mwenzio huwezi kujua taabu yake maana haikukufika wewe. ||
|
|-
| Afadhali dooteni,kama ambari kutanda.
| Afadhali dooteni,kama ambari kutanda. || Afadhali kibaya kidogo ulichonacho,kuliko kingi kizuri usichonacho wala huna njia ya kukipata.Hutumiwa kumnasihi mtu akinai na atoshelezeke na alichonacho,ingawaje kidogo.
 
|}
 
 
 
 
 
 
 
 
|}
 
*http://mwanasimba.free.fr/E_methali_01.htm
*http://www.angelfire.com/yt/chibilamsane/methali.html
 
 
 
[[Category:Fasihi]]
465

edits