Wilaya ya Mufindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: de:Mufindi
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Mufindi location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Mufindi (kijani) katika [[mkoa wa Iringa]].]]
'''Wilaya ya Mufindi''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Iringa]]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 283,082 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mufindi.htm].
 
Wilaya imepakana upande wa kaskazini na wilaya za [[wilaya ya Kilolo|Kilolo]] na [[Iringa mjiniMjini]], upande wa kusini na [[wilaya ya Njombe]], upande wa mashariki na [[mkoa wa Morogoro]] na upande wa magharibi na [[Mkoa wa Singida]].
 
Mufindi iko mlimani kuna baridi na mvua mwingi. Wilayani kuna mashamba makubwa ya chai.