Makaa mawe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Badiliko: lbe:ХъуручӀ
d r2.7.2) (roboti Badiliko: fa:زغال‌ سنگ; cosmetic changes
Mstari 1:
<center><small>''kwa makaa yanayotengenezwa kutokana na [[kuni]] tazama [[makaa]]''</small></center>
[[FilePicha:Coal bituminous.jpg|thumb|200px|Kipande cha makaa mawe]]
[[FilePicha:Coal_anthracite.jpg|thumb|200px|Kipande cha anithrasiti]]
 
'''Makaa mawe''' ni aina ya [[mwamba mashapo]] au [[mwamba metamofia]] na [[fueli kisukuu]] muhimu. Ilitokea kutokana na mabaki ya mimea ya kale iliyogeuzwa kuwa aina ya mwamba katika mchakato wa miaka mamilioni.
 
Kikemia ni hasa [[kaboni]]. Kijiolojia inatokea kama kanda pana au nyembamba katikati ya miamba mengine. Huchimbwa mara nyingi katika migodi chini ya ardhi au kama iko karibu na uso wa ardi katika machimbo ya wazi yaliyo kama mashimo makubwa.
 
== Asili ya makaa mawe ==
Asili ya makaa ni mabaki ya mimea iliyokufa miaka mingi iliyopita. Kama mabaki ya mimea yanafunikwa kwa maji au kuzama katika matope hayaozi jinsi ilivyo katika kutokea kwa [[mboji]]. Kinachotokea ni ganda la nyuzi za mimea zinazokauka wakati maji yanapungua tena. Maganda haya ni kitangulizi ya makaa mawe. Mabaki haya yalifunikwa tena na [[mashapo]] yaliyokuwa kanda la mawe juu yao. Uzito wao ulileta kanieneo na pia joto na hapo nyuzi za mimea zilikandamizwa kuwa mawe mashapo. Kama maganda ya mashapo juu ya makaa changa yaliongezeka sana kanieneo iliweza kutosha kuubadilisha mwamba kuwa mwamba metamofia.
 
Mstari 14:
Kwa hiyo ubora wa kiuchumi na kiwango cha nishati kilichomo katika makaa unaongezeka kadri ya umri wake na kina cha mahali panapochimbwa.
 
== Matumizi ==
Kiasi kikubwa cha makaa mawe yanayopatikana duniani huchomwa katika vituo vya umeme; katika nchi za kaskazini kuna pia nyumba nyingi zinazotumia makaa mawe kwa kupasha moto wakati wa baridi. Lakini matumizi haya yamepungua kutokana na machafuko ya vumbi lake na gesi chafu wakati wa kuchoma.
 
Sehemu kubwa hubadilishwa pia kuwa [[mkaazimawe]] kwa kuipasha moto kiwandani; mkaazimawe hutumiwa katika utengenezaji wa [[chumapua]] (feleji).
 
== Aina za makaamawe ==
[[ImagePicha:Lignite Klingenberg.jpg|thumb|230px|Kipande cha makaa kahawia katika mgodi]]
 
Mabaki ya mimea yasiyoweza kuuoza yanaendelea hatua kwa hatua kuwa
# '''Nyuzi za mimea zisizooza''' ([[:en:Peat]]) zinazopatikana kama maganda manene kwa wingi hasa katika nchi za kaskazini na kutumiwa kiuchumi; katika Afrika kuna maeneo muhimu penye mafuriko ya kimajira kama Botswana au Mali.
# '''Makaa kahawia''' ([[:en:lignite]]) ni makaa yenye thamani dogo zaidi huchomwa kwa kuzalisha umeme.
# '''Makaa meusi''' ni magumu zaidi huchomwa pia katika vituo vya umeme na pia kwenye nyumba za watu. Inawezekana kuibadilisha kuwa mafuta na [[petroli]] na mbinu huu ulitumiwa katika chi penye akiba za makaa haya wakati ilikuwa tatizo la kupata [[mafuta ya petroli]] kama huko Ujerumani wakati wa [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Ilitumiwa pia kwa [[injini za mvuke]] viwandani na [[injinitreni]] zilizoendeshwa kwa mvuke
# '''Anithrasiti''' ni aina ya makaa meusi yenye kiwangokikubwa cha nisati ndani yake.
# [[Kinywe]] (en:gaphite) ni kiango cha juu ya makaa hupatikana mahali chache duniani. Haiwaki kirahisi hivyo hutumiwa zaidi kwa penseli au kisagwa ka ulainishaji kwenye mashine.
 
[[CategoryJamii:Jiolojia]]
[[CategoryJamii:Fueli]]
 
[[af:Steenkool]]
Mstari 55:
[[et:Kivisüsi]]
[[eu:Ikatz]]
[[fa:ذغال‌سنگزغال‌ سنگ]]
[[fi:Kivihiili]]
[[fr:Charbon]]