Tofauti kati ya marekesbisho "Mashahidi wa Yehova"

170 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
[[Image:Watchtower Bible & Tract Society (world headquarters).jpg|thumb|200px|Makao makuu ya kimataifa huko [[Brooklyn]], [[New York]], Marekani.]]
'''Mashahidi wa Yehova''' (kwa [[Kiingereza]] '''Jehovah's Witnesses''') ni wafuasi wa [[dini]] jamii ya [[Ukristo|Kikristo]] ambayo ilianzia [[Marekani]] na kuenea ulimwenguni kote.
 
Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini [[Yesu]] kuwa [[Mungu]] sawa na [[Baba]], wala [[Roho Mtakatifu]] kuwa [[nafsi]], na kwa jumla hawakubali [[imani]] katika [[Utatu]] wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo [[madhehebu]] mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali [[ubatizo]] wao.
 
[[Mwanzilishi]] alikuwa [[Charles Taze Russell]] pamoja na kikundi cha wanafunzi wa [[Biblia]] ([[miaka ya 1870]]). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka [[1931]].
 
==Hoja dhidi yao==
Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, [[katazo]] la [[utoaji damu]], mara kadhaa za utabiri usiotimiawao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa.
 
KatikaKwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini [[Tanzania]] wakati wa [[urais]] wa [[Julius Nyerere]] au bado ni marufuku.
 
Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.