Mwaka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Nyongeza: kk:Жылдар
d r2.7.2) (roboti Ondoa: kk:Жылдар; cosmetic changes
Mstari 19:
* Kalenda za kihistoria ya [[Wamaya]] katika [[Amerika ya Kati]] ilikuwa na aina ya mwaka mwenye kipindi cha siku 260 iliyounganishwa na mwaka wa jua wa siku 365 katika utaratibu wa miaka 52.
* Kalenda ya [[mwaka wa Kanisa]] ni kalenda inayoratibu sikuu za kikristo na utaratibu wa liturgia kama vile masomo ya Biblia kwa ajili ibada mbalimbali. Hii ni lazima kwa sababu namna ya kuratibu mwaka si miezi bali wiki na jumapili. Kalenda hii hutofautiana kiasi kati ya makanisa yenye mapokeo ya kiorthodoksi upande mmoja na kanisa katoliki upande mwingine. Waorthodoksi huhesabu kwenye msingi wa kalenda ya Juliasi na Wakatoliki huhesabu kwenye msingi wa kalenda ya Gregori. Makanisa ya kiprotestant kama vile Anglikana na Walutheri hufúata mapokeo ya kikatoliki. Tofauti si muda wa mwaka lakini mwanzo wake. Mwaka wa Kanisa huanza kewenye jumapili ya kwanza ya [[majilio]] au Adventi.
 
 
[[Jamii:Kalenda]]
Line 89 ⟶ 88:
[[jv:Taun]]
[[ka:წელი]]
[[kk:Жылдар]]
[[kn:ವರ್ಷ]]
[[ko:년]]