Wasukuma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d ainisha {{mbegu}} using AWB |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Wasukuma''' ni kabila kubwa kutoka eneo la kusini na mashariki
== '''
Pamba ndio zao kuu la kibiashara kwa wasukuma, ambao pia hulima mazao mengine kama mpunga, tumbaku, mahindi,Viazi,Dengu na matunda(Kisiwani ukerewe)
Wasukuma pia ni wafanyabiashara na uvuvi, madini mbalimbali kama vile dhahabu, almasi na madini mengineyo huchimbwa katika maeneo mbali mbali mikoa ya Mwanza na Shinyanga.
Wasukuma pia wanajihusisha sana sana na kilimo cha mazao ya nafaka na mifugo ya aina mbali mbali. Maeneo ya Shinyanga wanalima mazao ya nafaka kama Mahindi na Mpunga.
== Maeneo yaliyo na madini ==
Wasukuma wamezungukwa na madini mbalimbali. Yafuatayo ni maeneo yaliyo na madini.
1.Mwadui (Huku kuna madini ya almasi ambayo kwa kiwango
2. Maganzo (Vilevile eneo hili limewekwa kwa ajili ya
{{mbegu-utamaduni-TZ}}
|