Mnazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Mnazi''' ni [[pombe]] inayotengenezwa na utomvu wa [[nazi]] changa iliyogemwa ikiwa mtini. Utomvu huu ukikusanywa ndio unaotoa pombe ya mnazi.
 
Pombe hii ya mnazi ni maarufu sana maeneo ya mwambao wa [[pwani]] [[Tanzania]] ambapo minazi huota kwa wingi hasa [[Tanga]]. Pombe hii haiongezwi kitu chote ili kukamilika. Huhitaji masaa 8 tu toka kugemwa ili kukamilika kunywewa, ina rangi nyeupe iliyofifia hii ni pombeyapombe ya asili ya wabondei.
 
{{mbegu}}