Guinea Bisau : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 54:
}}
[[Picha:Guinea bissau sm03.png|left|Map of Guinea-Bisau]]
'''Guinea-Bisau''' (pia: ''Ginebisau'') ni nchi ndogo katika [[Afrika ya Magharibi]]. Iko mwambaoni wa [[Bahari Atlantiki]] ikipakana na [[Senegal]] upande wa kaskazini na [[Guinea upande]] upande wa kusini.
 
Zamani ilikuwa koloni ya [[Ureno]] wa [[Guinea ya Kireno]] ikaongeza jina la mji mkuu wake kuwa Guinea-Bisau kwa kusidi la kuitofautisha na nchi jirani ya Guinea.