Kamerun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.3) (roboti Nyongeza: kaa:Kamerun
No edit summary
Mstari 56:
| 237
|}
'''Jamhuri ya Kamerun''' (pia: ''Cameroon'') ni Jamhuri ya umoja katika [[Afrika]] ya Magharibi. Imepakana na [[Nigeria]], [[Chadi]], [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Jamhuri ya Kongo]], [[Gabon]], [[Guinea ya Ikweta]] na [[Guba ya Guinea]].
 
Kamerun ilikuwa koloni la [[Ujerumani]] hadi [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Baada ya [[Ujerumani]] kushindwa vita nchi ikagawiwa kati ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]] kama [[eneo la kukabidhiwa]].