Philippus Mwarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|Shaba inayoonyesha Kaisari Philippus Mwarabu '''Marcus Julius Philippus''' (takriban 204 – April/Mei [[249...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 10:25, 26 Julai 2007

Marcus Julius Philippus (takriban 204 – April/Mei 249) alikuwa Kaisari wa Dola la Roma kuanzia Februari 244 hadi kifo chake. Alimfuata Gordian III. Aliitwa Mwarabu kwa vile alizaliwa katika jimbo la Syria karibu na mji wa Damaskus na wazazi Waarabu.

Faili:Antoninianus Philip the Arab - Seculum Novum.jpg
Shaba inayoonyesha Kaisari Philippus Mwarabu