Maximinus Thrax : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|Kaisari Maximinus Thrax '''Gaius Iulius Verus Maximinus''' au '''Maximinus Thrax''' (takriban 173 – Aprili 238) alikuwa Kaisari wa [[...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:49, 26 Julai 2007

Gaius Iulius Verus Maximinus au Maximinus Thrax (takriban 173 – Aprili 238) alikuwa Kaisari wa Dola la Roma kuanzia 20 Machi, 235 hadi kifo chake. Alimfuata Alexander Severus. Kwa vile hakukaa katika mji wa Roma, kulikuwa na makaisari wengi walioasi dhidi yake, kama babu, baba na mwana wa akina Gordian, au Balbinus na Pupienus.

Kaisari Maximinus Thrax