Go-Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: cs, eo, es, fr, ja, pl, pt, zh Modifying: en
No edit summary
Mstari 1:
'''Go-Sakuramachi''' ([[23 Septemba]], [[1740]] – [[24 Desemba]], [[1813]]) alikuwa mfalme mkuu wa 117 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Satoko''. MwakaTarehe wa[[15 Septemba]], [[1762]] alimfuata kaka yake, [[Momozono]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu mwaka wa [[1771]]. Aliyemfuata ni mpwa wake, [[Go-Momozono]].
 
{{mbegu}}