Nyumba ya sanaa Kwenye Makavazi ya Derby : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.4.3) (roboti Nyongeza: als, ang, ba, be, be-x-old, br, ca, crh, cs, da, de, el, en, eo, es, et, eu, fa, fi, fr, ga, gl, he, hi, hsb, id, it, ja, jv, ko, kv, la, map-bms, ms, nl, no, oc, pl, pt, ro, ru, sh, simple, sk, sq, sv, tr, tt, uk, yi
dery wikilink
Mstari 1:
Nyumba ya Sanaa Kwenye Makavazi ya [[Derby]] inayojulikana kwa kiingereza kama '''Derby Museum and Art Gallery'''ilianzishwa mwaka 1879, pamoja na Derby Central Library, katika ujenzi mpya iliyoundwa na Richard Knill Freeman na kutolewa kwa Derby, England Derby na Michael Thomas Bass. Mkusanyiko ya vitu vya Sanaa zinazo patikana hapo ni pamoja na nyumba nzima nzima iliyo na picha zilizochorwa na Joseph Wright ya Derby, pia kuna picha Kubwa ya Royal Crown Derby na picha zingine za kisanaa kutoka Derby na eneo la jirani. Zaidi ya hayo ni pamoja na maonyesho ya akiolojia, historia ya asili, geologi na makusanyo ya kijeshi. Makafadhi haya yamekuwa wazi tangu 1882.
 
 
==Historia==
Makavazi ya [[Derby]] inaunganisha historia ya kuanzishwa kwake na Mji wa Derby na Jamii ya Makumbusho na historia ya Kiasili mnamo Februari 10, 1836.
Jamii hiyo ilikuwa ya kibinafsi na liligharamiwa na pesa za wanachama. Sanaa zilizohifadhiwa zilikuwa mchango wa kihiari kutoka kwa Dr Forrester aliyekuwa Rais wa Jamii Ya philosophia ya Derby.Msimamizi wa makafadi hayo alikuwa ni William Cavendish, 6th Duke of Devonshire na Rais alikuwa ni Sir George Harpur Crewe, 8th Baronet|Sir George Crewe, ambaye alikuwa na nia kubwa ya kuhifadhi vitu vya kisanaa. Kanali George Gawler alichangia katika ukusanyaji wa madini na ndege zilizohifadhiwa ambayo ilikuwa ni pamoja na albatross alizokusanya kutoka kwa muda wake kama gavana katika Australia Kusini. Katika mwaka 1839 kulikuwa na maonyesho makubwa katika taasisi ya mekaniki ambayo ilikuwa na vitu vingi ikiwa ni pamoja na sanaa zilizosanywa na Joseph Strutt.mengi ya sanaa hizi zilipata kuhifadhiwa katika makafadi ya derby. Mnamo 1840, Jamii ilihamia eneo la Atheneum katika Victoria Street. Sanaa zilizosanya ziliongezeka kwa wingi mwaka wa 1856.
Mwaka 1857, Llewellyn Jewitt akawa katibu na makafadhi ikafunguliwa wazi kwa umma kwa ujumla kila Jumamosi asubuhi. Mwaka 1858 jamii ya philosophia ya Derby walihamia nyumba ya Wardwick katika Derby kama zimeunganishwa na ikaitwa Makafadhi ya Mji wa Derby County na jamii ya Kihistoria. Hatua hii imejumuisha vitabu vya maktaba ya jamii kiasi cha 4000, hisabati na sayansi vifaa na . Katika mwaka 1863 Mwana sayansi wa mimea Bwana Croall Alexander aliteuliwa Mkutubi wa kwanza na mtunzi wa makafadhi na mwaka uliofuata makafadhi na maktaba ikaunganishwa pamoja.. Croall alitoka mwaka wa 1875 na kwenda kuwa mtunza wa Taasisi ya Smith katika Stirling.