Jorge Luis Borges : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Jorge Luis Borges Hotel.jpg|thumb|right|Jorge Luis Borges]]
'''Jorge Luis Borges''' ([[24 Agosti]] [[1899]] - [[14 Juni]] [[1986]]) alikuwa mwandishi wa fasihi kutoka nchi ya [[Argentina]]. Wataalamu wengi wa fasihi wanaamini kuwa Borges alikuwa mojawapommojawapo wa waandishi mashuhuri sana katika karne iliyopita.
 
Mwaka wa 1914, familia yake ilihamia nchini [[Switzerland]] ambapo aliweza kujiunga na shule na baadaye kusafiri nchini Hispania. Alivyorudi zake nchini [[Argentina]] kunakomnamo mwaka 1921, Borges akaanzaalianza kuchapisha vitabu vya fasihi na insha kadhaa. Pia alishawahi kufanya kazi kama mwana maktabamkutubi na mhadhiri wa umma. Mwaka wa 1955, alichaguliwa kuwa mkurugenzi wa Maktaba ya Taifa (Biblioteca Nacional) na mwalimu wa Fasihi katika [[Chuo Kikuu cha Buenos Aires]].
 
Mwaka wa 1961 amekujaalikuja katika uzingativu wa watu kimataifa pale alipo-pataalipopata Tuzo ya Waandishi wa Kimataifa kwa ajili ya Prix Formentor. Mwaka wa 1971 amejishindiaalijishindia Tuzo ya Jerusalem. Kazi zake zilitafsiriwa na kuchapishwa zaidi nchini Marekani na huko barani Ulaya. Borges yeye mwenyewe alikuwa anajua lugha kadhaa kwa ufasaha kabisa. AmefarikiAlifariki mjini [[Geneva]], [[[Switzerland]], mnamo mwaka wa 1986.
 
Borges hasa alijulikana kwa kutunga hadithi fupi za kubuniwa zilizoangazia maswalamasuala magumu kama vile "Wakati, Uwanda na Vioo" (kwa Kiingereza, ''Time, space and mirrors'').
 
Mifano ya hadithi fupi alizoziandika ni kama "Shamba Panda" ambayo kwa Kiingereza ni ''The Garden of forking paths'', na "Maktaba ya Babeli", au kwa Kiingereza, ''The Library of Babel''.