Jorge Luis Borges : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Jorge Luis Borges''' ([[24 Agosti]] [[1899]] - [[14 Juni]] [[1986]]) alikuwa mwandishi wa fasihi kutoka nchi ya [[Argentina]]. Wataalamu wengi wa fasihi wanaamini kuwa Borges alikuwa mmojawapo wa waandishi mashuhuri sana katika karne iliyopita.
Mwaka
Mwaka 1961 alikuja katika uzingativu wa watu kimataifa pale alipopata Tuzo ya Waandishi wa Kimataifa kwa ajili ya Prix Formentor. Mwaka 1971 alijishindia Tuzo ya Jerusalem. Kazi zake zilitafsiriwa na kuchapishwa zaidi nchini Marekani na huko barani Ulaya. Borges yeye mwenyewe alikuwa anajua lugha kadhaa kwa ufasaha kabisa. Alifariki mjini [[Geneva]], [[[Switzerland]], mnamo mwaka 1986.
|