Kongoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho ya bingwa
Nyongeza matini
Mstari 20:
''[[Alcelaphus lichtensteinii|A. lichtensteinii]]'' <small>([[Wilhelm Peters|Peters]], 1849)</small>
}}
'''Kongoni''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wakubwa wa [[jenasi]] ''[[Alcelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Kwa asili jina hili lilitumika kwa [[nususpishi]] ''A. buselaphus cokii'' lakini sikuhizi [[spishi]] na nususpishi zote za ''Alcelaphus'' huitwa kongoni. Wanatokea [[savana]] za [[Afrika]] tu. Rangi yao ni ya mchangwa lakini tumbo na matako ni nyeupe. Pembe zao zimepindika na zina umbo wa [[zeze]] zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula [[nyasi|manyasi]].
 
==Spishi==
* ''Alcelaphus buselaphus'', [[Kongoni Mashariki]] ([[w:Hartebeest|Hartebeest]])
* ''Alcelaphus caama'', [[Kongoni Mwekundu]] ([[w:Red Hartebeest|Red Hartebeest]])
* ''Alcelaphus lichtensteinii'', [[KongoKongoni wa Lichtenstein]] ([[w:Lichtenstein's Hartebeest|Lichtenstein's Hartebeest]])
 
==Picha==