Go-Mizunoo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Go-Mizunoo''' (29 Juni, 159611 Septemba, 1680) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (''Tenno'') wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Masahito''. Mwaka wa [...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:15, 28 Julai 2007

Go-Mizunoo (29 Juni, 159611 Septemba, 1680) alikuwa mfalme mkuu wa 108 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Masahito. Mwaka wa 1611 alimfuata Go-Yozei, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 22 Desemba, 1629. Aliyemfuata ni binti wake, Meisho.