Yohannes III : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Yohannes III''' (amezaliwa takriban 1797) alikuwa mfalme wa Ethiopia. Kati ya 1840 na 1851, Yohannes III na binamu yake, Sahle Dengel, waliondoshana madarakani na ku...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:11, 28 Julai 2007

Yohannes III (amezaliwa takriban 1797) alikuwa mfalme wa Ethiopia. Kati ya 1840 na 1851, Yohannes III na binamu yake, Sahle Dengel, waliondoshana madarakani na kurudishiwa utawala mara kwa mara. Aliyemaliza fitina hiyo na kuwafuata ni Tewodros II. Yohannes III alikuwa mwana wa mwisho wa nasaba ya Solomoni. Haijulikani kama amefariki mwaka wa 1851, Tewodros II alipoanza utawala, au akiendelea kuishi hadi miaka ya 1870.