Mbeya : Tofauti kati ya masahihisho

2 bytes added ,  miaka 16 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
== Mbeya, mji ==
Mbeya ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Umbali na [[Daressalaam]] ni kama km 850 kwa barabara ya lami. Idadi ya wakazi imekadiriwa kuwa wapatao 280.000 katika mw. 2005. Wengine mnamo 300.000 wanaishi katika mazingira karibu na Mbeya mjini.
 
Kuna njiapanda ya njia mbalimbali muhimu: Barabara kuu ya lami kutoka Daressalaam hugawanya hapa kwenda Malawi – Msumbiji kupitia Tukuyu/Rungwe, na kwenda Zambia – [[Afrika Kusini]] kupitia Tunduma/Mbozi. Vilevile njia ya reli ya TAZARA hupita Mbeya kuelekea Zambia. Kuna ghala kubwa kwa ajili ya mizigo ya Malawi inayofikishwa kwa reli kutoka Daresalaam bandarini ikihamishwa kwa malori kwenda Malawi hapa Mbeya.
 
Mbeya imekuwa na uwanja wa ndege ndogo isiyokuwa na huduma ya kawaida kwa muda mrefu. Lakini kuna mipango ya kujenga uwanja mpya huko Songwe zipatao km 40 kufuata njia ya kwenda Zambia.
 
Anonymous user