Dinosauri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 18:
| bingwa_wa_spishi =
}}
'''Dinosauri''' (Kutokakutoka [[Kigiriki]] δεινός'' deinos – "ya kutisha"'', σαῦρος ''sauros "mjusi"''; pia: '''dinosau, dinosari''') walikuwa kundi la [[reptilia]] wakubwa sana walioishi duniani miaka mamilioni iliyopita.
[[Picha:Trex1.png|thumb|left|Kulinganisha ukubwa wa [[tiranosauri]] na [[binadamu]].]]
 
Wataalamu huamini ya kwamba dinosau walitokea miaka milioni 230 iliyopita wakapoteawakatoweka ghafla mnamo miaka 65 iliyopita. [[Ndege]] hutazamiwa kuwa katika [[nasaba]] ya dinosau.
 
Ujuzi kuhusu [[wanyama]] hao ni kutokanaunatokana na [[visukuku]] vyao (mabaki yaliyokuwaambayo jiweyamekuwa [[mawe]]) kama vile [[mfupa|mifupa]], [[wayo|nyayo]], mayaima[[yai]] au [[samadi]]. Visukuku vya dinosau vimepatikana kwenye mabarama[[bar]]a yote hata [[Antaktika]] kwa sababu waliishi wakati mabara yote bado yalikuwa bado pamoja kama bara kubwa asilia la [[Pangaia]].
 
Hadi sasa [[spishi]] 500 zimegunduliwazimegundulika na idadi ya spishi zilizotambuliwa inazidi kuongezeka.
 
Kutokana na [[meno]] yao kumewezekanaimewezekana kutambua [[chakula]] chao. Wengine waliguwawalikuwa wala majanima[[jani]], wengine wala nyama. Wakubwa sana walikula majani kama vile [[apatosaurinyama]]. na [[brakiosauri]] na hao walikuwa viumbehai wakubwa kabisa waliowahi kutembea duniani.
 
Wale wakubwa sana walikula majani kama vile [[apatosauri]] na [[brakiosauri]] na hao walikuwa ndio [[viumbehai]] wakubwa kabisa waliowahi kutembea duniani.
Wala nyama waliokimbia kwa miguu miwili ya nyuma jindi wanavyofanya watu lakini pia majusi kadhaa za leo.
 
Wala nyama waliokimbiawalikimbia kwa [[miguu]] miwili ya nyuma jindijinsi wanavyofanya watu lakini pia [[majusi]] kadhaa za leo.
 
Kulikuwa pia na reptilia wakubwa walioruka hewani walioitwa [[pterosauri]], lakini kinasaba hawakuwa karibu sana na dinosau.

Wengine wakubwa waliishi baharini[[bahari]]ni kama [[ikhtiosauri]] na [[plesiosauri]]; hata hao walikuwa kundi nyinginelingine.
 
=== Picha ===
Picha zifuatazo zinaonyesha kwanza visukuku vya kweli vya dinosau halafu [[uchoraji]] au [[sanamu]] zinazonyeshazinazoonyesha jinsi gani wataalamu wanadhani mnyama alionekana
<gallery>
image:Triceratops Struct.jpg|Kiunzi cha triseratopsi