Pemba (kisiwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: ko:펨바 섬
nyongeza mikoa
Mstari 7:
 
Pemba pamoja na visiwa vidogo karibu nayo ina wakazi 360,797 katika eneo la 980 km².
Pemba kuna miwili ya mikoa 26 za Tanzania.
 
Miji muhimu ya Pemba ndiyo [[Chake Chake]], [[Mkoani]] na [[Wete]].
 
Pemba kuna miwili ya mikoa 26 za Tanzania. ambayo ni
*[[Mkoa wa Pemba Kaskazini]] yenye wilaya za [[wilaya ya Wete|Wete]] na [[wilaya ya Micheweni|Micheweni]].
*[[Mkoa wa Pemba Kusini]] yenye wilaya za [[wilaya ya Mkoani|Mkoani]] na [[wilaya ya Chake Chake|Chake Chake]].
 
Uchumi wa Pemba ni hasa kilimo pamoja na uvuvi. Mazao ya sokoni hulimwa hasa [[karafuu]].