Kalenda ya Gregori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ku:Salnameya gregorî
Mstari 18:
 
=== Kusogeza kwa tarehe ya Pasaka ===
Tatizo kwa maisha ya kanisa lilikuwa ya kwamba [[Pasaka ya Kikristo|tarehe ya Pasaka]] liliendelea kusogea nyuma polepole na haikufuata tena utaratibu uliowekwa na [[mtaguso wa Nikea]]. Azimio hili katika mwaka [[325]] BK lilisema ya kwamba Pasaka itasheherekewa Jumapili ya kwanza baada ya mwezi mpevu wa kwanza baada ya Machi 21 (tarehe ya [[sikusare machipuo]] ambayo ni siku ya usawa wa mchana na usiku hivyo mwanzo wa majira ya kuchipua katika kaskazini ya dunia). Wakati wa Papa Gregori XIII tarehe ya [[sikusare]] ilikuwa imewahi siku 10 na kufika tayari Machi 11! Kwa sababu hiyo [[mtaguso wa Trento]] wa [[kanisa katoliki]] katika mwaka [[1563]] uliamua kusahihisha kalenda.
 
== Dunia iliruka siku 10 ==