Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 11:
Pia mimi ni mpenzi mzuri wa kuangalia runinga hasa vipindi vya [[BBC]]. Napendelea makala ya [[Clickonline]]. Nafahamu mchezo wa tenisi ya meza kwa ustadi kiasi fulani. Mimi siyo bingwa sana wa mchezo wa huu, ila kama utakuwa hujafanya mazoezi siku nyingi, ukapocheza na mimi utaona ni mkali zaidi yako. Vilevile ni mpenzi wa sinema za [[vibonzo]] na zile za sayansi ya kufikirika.
 
Kwa ujuzi mimi ni mzoefu katika kuprogramu kompyuta kwa kutumia lugha mbalimbali za kompyuta kama vile [[C/C++]], [[Java]], [[PHP]], [[HTML]], [[CSS]], [[Javascript]], [[Visual Basic]] na [[C#]]. Pia na mengine mengi yanayohusiana na [[teknolojia ya mawasialiano]] na [[mtandao]]
 
Nimeaumua kushiriki katika shindano hili la kuandika [[makala]] za [[Kiswahili]] kwa sababu mimi mpenzi wa lugha yangu ya Kiswahili na nina mengi ya kutoa kwa jamii hasa yale ambayo naamini ni mageni ya kufurahisha. Naamini kwa kuendeleza kupitia shindano hili na baada ya shindano tutaweza kuongeza kwa kiasi kikubwa idadi ya makala za kiswahili na kuongeza watumiaji wa lugha yetu ya thamani ya kiswahili katika mtandao.